Mwanamume mmoja wa Nigeria aliyeishi katika mji wa Benin Edo aliyetambuliwa kama Felix Eigbefo alichapisha picha za mwanamume mmoja ambaye anaripotiwa kujificha kama mwanamke aliyekuja vaa hijab kufanya mapenzi na mwanamke aliyeolewa katika nyumba ya mumewe.
Alianika picha za mtu huyo baada ya kukamatwa.
Felix aliandika,
"Jamaa alijificha kama ELEHA kufanya ngono na Eleha katika kitanda cha mumewe"
Alikamatwa na kufunuliwa!