Fumanizi: Mpenzi wangu na mwanamke mwingine

Fumanizi: Mpenzi wangu na mwanamke mwingine

J the jojo

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
55
Reaction score
98
Jamani nimemkuta mpenzi wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha, je nimsamehe au niachane nae?

Naomba mnishauri.
 
Na wewe nenda kadundwe nje hasira zipoe.
 
Jaman nimemkuta mpenz wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha je nimsamehe au niachane nae???? Naomba mnishauri
HATA USIPOMASMEHE UTAPATA MWINGINE YANAWEZA TOKEA TENA, WANAUME NGONO IKO KARIBU KULIKO NYIE....WE ANGALIA KAMA ANAOMBA MSAMAHA WA KWELI MSAMEHE TU MAANA ANAKUPENDA WEWE WENGINE NIMICHEPUKO TU YA KUPITA.....TUNZA MALI YAKO AMA ITAIBIWA HUKU UKIONA
 
Mmh. Hapo mwenye maamuzi ni wewe mwenyewe kwa kuwa ndio unayejua vyema tabia zake.

Pia huwa vitu kama hivi maamuzi huwa yanatoka papo hapo sasa ukisema mpaka upate ushauri huku jf hizo ni dalili za kwamba bado unamuhitaji
 
Siyo mala ya kwanza hii ni kama mala ya tatu tena na wanawake tofauti
Duuh! Kama ni hivyo, piga tu chini fasta... Hapo utaletewa magonjwa na maradhi ya moyo na yale mengine yasiyotibika... Mamaa, hama hiyo kambi sio salama kwako...
 
Jaman nimemkuta mpenz wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha je nimsamehe au niachane nae???? Naomba mnishauri
Wewe msamehe tu sababu wewe hajakufumania lakini wafanya kama yeye
 
Back
Top Bottom