Fumanizi: Mpenzi wangu na mwanamke mwingine

tatzo mwanaume akishaona umegundu Anachepuka zaidi ya mara mbili na umesamehe anaendeleza huo mchezo
 
Itakuwa kuna udhaifu unao ndio mana anarudia mara kwa mara. Pia usimpende sana mwanaume atakusumbua na huyo ameshajua kila ukimfumania akikuomba samahani wewe unamkubalia ndio maana.

Simama wewe kama wewe na uamue unachoona kina nafuu kwako

Kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake
Unajua mada kama hizi mleta mada huwa mara nyingi yake hatuyajui huenda hata yeye kuna shida zake ambazo zinamfanya jamaa achepuke
Ila hayo maswala huwa yanamalizwaga na wenyewe huko siye tunatimizaga wajibu wetu wa kushauri tu
Haha sasa hapa mwenye udhaifu ni mwanaume au mwanamke? Mbona umalaya ndo kama udhaifu wa huyo me? Kama huyu dada ana udhaifu si amuache aende kwa hao walio wakamilifu? they ain't married yet. Afu na hao wanawake wengine watatu alomkuta nao na wenyewe wote wana udhaifu? Maana angechepuka na mmoja labda tungesema ndo huko ana cover udhaifu wa huyu dada, ila to him cheating is a career. Cheating is a choice, aunt si umetulia na uncle, kwani hana mapungufu ukachepuke? Hakuna justification ya kucheat, kama mtu ana udhaifu si umuache tu ukatulie na aliye mkamilifu? Hii mentality ya kwamba mtu akichepuka tu anza kujichunguza wewe sometimes ni ujinga tu, do you think kuna mtu ambaye ni ukamilifu 100%, kuna siku utajichunguza ujikute ni mkamilifu? Kama kuna tatizo kwa nini mtu asicommunicate na mwenzake ili waondoe hilo tatizo? Akienda kuchepuka ndo udhaifu wa huyu dada unaisha au? Hakuna cha udhaifu wa mdada hapa, ni umalaya tu wa huyo mwanaume
Kweli kabisa kama hadi amefikisha mara tatu lazima kuna shida sehemu.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom