M MR. ABLE JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,480 Reaction score 946 Dec 11, 2012 #1 Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi???
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi???
Mnyampaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 244 Reaction score 58 Dec 14, 2012 #2 SAUDARI said: Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi??? Click to expand... Atakuwa kaibana kwa nyuma. Teh
SAUDARI said: Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi??? Click to expand... Atakuwa kaibana kwa nyuma. Teh
kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Dec 22, 2012 #4 MR. ABLE said: Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi??? Click to expand... baada ya konda kumuuliza jamaa mchz akaingiza kidole sikioni kisha shiling mia mbili ikadondoka chini then jamaa akaiokota na kumpa yule konda
MR. ABLE said: Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi??? Click to expand... baada ya konda kumuuliza jamaa mchz akaingiza kidole sikioni kisha shiling mia mbili ikadondoka chini then jamaa akaiokota na kumpa yule konda