Fumanizi!! Fumanizi!! Fumanizi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fumanizi!! Fumanizi!! Fumanizi!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Watu8, Apr 10, 2012.

 1. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  fumanizi 1 copy.jpg

  fumanizi 2 copy.jpg

  fumanizi 3 copy.jpg


  "Mke wa mtu ni sumu, usijaribu chombeza...." hayo ni maneno ya wimbo fulani hivi wa bongo flavor kidogo jina la msanii aliyeimba limenitoka...

  Aibu ya mwaka imemkuta huyo njemba pichani baada ya kufumaniwa na mke wa mwenye mali huko waja leo waondoka leo "TANGA".
  Pasi na hiyana mwenye mzigo akatoa adhabu ya kumtembeza Mgoni wake na jiko lake wakiwa uchi wa mnyama huku wakichezea kichapo cha hapa na pale pindi walipokua wakikaidi amri ya kushikana mikono....

  Hii iwe fundisho kwa nyie wakware mnaopenda kula vya watu na pia kwa kinadada mnaotoa tundi bureee tena mchana kweupeee ilihali ulilipiwa mahari.

  NOTE: Sehemu nyeti nimezificha ili kuzingatia maadili ya jukwaa!
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Fungua hizo sehemu nyeti ili tuchangie fresh!
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Hizi picha niliziona mwakajuzi hapa jukwaani sasa wamerudia tena wakafumaniwa??au mambo yakuona kitu kabla ujauliza unakimbizia JF ili upate coverage??Pinch are way!
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  wengine humu watoto mkuu wataota usiku
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa aliyeshika rungu ndiye mwenye mali au?
  Mbona anamachungu sana?
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  kweli eenh!
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  mie nilikua mpita njia tu!
   
 8. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 620
  Trophy Points: 280
  we uliopost hiz picha ulikuwa jela nini?, umeibuka ukaziona kwa mara ya kwanza ukazirusha. tushaziona kitambo sana miaka 2 iliyopita. ilitokea tarime, sio tanga wewe!!!
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  nalazimika kuhama hapa
   
 10. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,799
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  usipende kuokotezaokoteza picha, imeshawekwa mara kibao humu na wadau sasa tumeichoka!
   
 11. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huo wimbo unaitwa "Mke wa m2 ni Sumu" uliimbwa na vijana wanaoitwa. LWP, Mke wa mtu ni sumu... Usijaribu chombeza...Yatakuja yakukute usiyoyategemea......
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mhmmm!!! Hii ni aibu iliyopea. Mimi nawaonea huruma tu jinsi walivyopigwa ila ndo hivyo kunanihiii raha.
   
 13. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  he has just turned 18
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sasa jamaa anashindwa nini kutoka mkuu,nafasi yote hiyo waliyomwachia?
   
 15. O

  Omben emanuel New Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwel noma!!
   
 16. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada awe mkweli. Kituko tajwa kilitokea Kisumu Kenya wala si Tanga kama anavyodai.
   
 17. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wamefanana tu, dhahama hii ilitokea Isalalo.
   
Loading...