Wakazi na wenyeji wa Mwanza nisaidieni, Kati ya fumagira wilayani Nyamagana na Nyang'holongo wilayani Misungwi panafaa kununua kiwanja na kuweka makazi ya kudumu.
Wakazi na wenyeji wa Mwanza nisaidieni, Kati ya fumagira wilayani nyamagana na Nyang'holongo wilayani Misungwi panafaa kununua kiwanja na kuweka makazi ya kudumu.
Nimetoka Mwanza mda mrefu mji unakuwa kila siku.
Unazungumzia nyang'holongo au nyangomango maana nyangomango ndo sehemu nzuri na iko njiani kabla ya kufika usagara na ina makazi mazuri mapya nadhani ni sehem salama kuweka makazi na viwanja bei imechangamka sana