salehe mahonyo Member Joined Mar 18, 2018 Posts 31 Reaction score 7 Oct 20, 2018 #1 Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Oct 20, 2018 #2 salehe mahonyo said: Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira? Click to expand... Kwani lazima uajiriwe soma utuchoree ramani za nyumba na kutuuzia kwa bei nafuu utatajirika sana tu
salehe mahonyo said: Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira? Click to expand... Kwani lazima uajiriwe soma utuchoree ramani za nyumba na kutuuzia kwa bei nafuu utatajirika sana tu
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,652 Reaction score 5,134 Oct 20, 2018 #3 Alafu form six leaver naomba mrekebishe lugha zenu "fursa"
salehe mahonyo Member Joined Mar 18, 2018 Posts 31 Reaction score 7 Oct 20, 2018 Thread starter #4 adna yuzo said: Alafu form six leaver naomba mrekebishe lugha zenu "fursa" Click to expand... KamA unaweza kuchangia do it.sio kukosoa lugha au u mwl Wa kiswahl ee
adna yuzo said: Alafu form six leaver naomba mrekebishe lugha zenu "fursa" Click to expand... KamA unaweza kuchangia do it.sio kukosoa lugha au u mwl Wa kiswahl ee
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,652 Reaction score 5,134 Oct 20, 2018 #5 salehe mahonyo said: KamA unaweza kuchangia do it.sio kukosoa lugha au u mwl Wa kiswahl ee Click to expand... Haya ila usisahau hilo.
salehe mahonyo said: KamA unaweza kuchangia do it.sio kukosoa lugha au u mwl Wa kiswahl ee Click to expand... Haya ila usisahau hilo.
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Oct 20, 2018 #6 salehe mahonyo said: Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira? Click to expand... Hii course Sio lazima uajiriwe unaweza kujiajiri ww km ww tu na ukapata kipato kizuri
salehe mahonyo said: Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira? Click to expand... Hii course Sio lazima uajiriwe unaweza kujiajiri ww km ww tu na ukapata kipato kizuri
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Oct 20, 2018 #7 salehe mahonyo said: KamA unaweza kuchangia do it.sio kukosoa lugha au u mwl Wa kiswahl ee Click to expand... Acha kujifanya lagard mkuu, kubali kurekebisha pale unapokosea wewe sio Mungu usikosee.
salehe mahonyo said: KamA unaweza kuchangia do it.sio kukosoa lugha au u mwl Wa kiswahl ee Click to expand... Acha kujifanya lagard mkuu, kubali kurekebisha pale unapokosea wewe sio Mungu usikosee.
salehe mahonyo Member Joined Mar 18, 2018 Posts 31 Reaction score 7 Oct 20, 2018 Thread starter #8 daudthefarmer said: Acha kujifanya lagard mkuu, kubali kurekebisha pale unapokosea wewe sio Mungu usikosee. Click to expand... Hio ndio shida ya watu wasiojielewa kwnn mnahoji vtu visivyo vya msingi,,? Kama unaweza jib au hujaelewa nn hapo
daudthefarmer said: Acha kujifanya lagard mkuu, kubali kurekebisha pale unapokosea wewe sio Mungu usikosee. Click to expand... Hio ndio shida ya watu wasiojielewa kwnn mnahoji vtu visivyo vya msingi,,? Kama unaweza jib au hujaelewa nn hapo
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Oct 20, 2018 #9 salehe mahonyo said: Hio ndio shida ya watu wasiojielewa kwnn mnahoji vtu visivyo vya msingi,,? Kama unaweza jib au hujaelewa nn hapo Click to expand... kwa hiyo kukataa kurekebishwa ni kujielewa? una safari ndefu sana ya kulekezwa hapa duniani kama unajifanya kujua kila kitu kua mbishi bila sababu ya msingi!
salehe mahonyo said: Hio ndio shida ya watu wasiojielewa kwnn mnahoji vtu visivyo vya msingi,,? Kama unaweza jib au hujaelewa nn hapo Click to expand... kwa hiyo kukataa kurekebishwa ni kujielewa? una safari ndefu sana ya kulekezwa hapa duniani kama unajifanya kujua kila kitu kua mbishi bila sababu ya msingi!
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,794 Reaction score 2,019 Oct 23, 2018 #10 salehe mahonyo said: Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira? Click to expand... Kama unaelewa vizuri michoro na unajua kuchora ni kozi nzuri kwako, ubunifu wako tu. Vinginevyo, ukikosea jambo ukubali kukosolewa.
salehe mahonyo said: Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira? Click to expand... Kama unaelewa vizuri michoro na unajua kuchora ni kozi nzuri kwako, ubunifu wako tu. Vinginevyo, ukikosea jambo ukubali kukosolewa.
J joker 360 New Member Joined Dec 24, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Jan 17, 2019 #11 Kwa anaehitaji Raman bei poa tuu,,anicheki whatsapp 0626102307