Full Time: Tanzania Stars 0 - 1 Madagascar | COSAFA 2025

Full Time: Tanzania Stars 0 - 1 Madagascar | COSAFA 2025

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,163
Reaction score
22,739
Mpaka sasa Tanzania 0 na Madagascar 1
Kama Madagascar watatulia wana nafasi ya kuongeza tena goli. Tuendelee kuombeana.

Mpira umekwisha na Stars anapasuka
 
07 June 2025

Bloemfontein, Republic of
South Africa

The HOLLYWOODBets COSAFA CUP 2025

Group C – Toyota Stadium

Dakika 56'

Tanzania 0 - 1 Madagascar

First Group C encounter

GROUP CPWDLGFGAGDPTS
Eswatini00000000
Madagascar00000000
Tanzania00000000
 
Dakika ya 75'

Tanzania 0 - 1 Madagascar

Taifa stars no awareness, can not do through passes, players can not keep the ball, no teamwork in short it is a shamble show from the Tanzanian side here in Bloemfontein today so far
 
Dakika 82'

Tanzania 0 - 1 Madagascar

Head coach Hemed Morocco anafanya mabadiliko kwa Taifa Stars
 
Dakika 84"
Nafasi ya wazi kwa Taifa Stars lakini mpira wa kichwa unakwenda arijojo kama kishada angani na kupotea , kawaida ya washambuliaji wa Tanzania

Ubao :
Tanzania 0 - 1 Madagascar
 
Sasa timu inaongozwa na kocha wa level za Coastal Union, Mlandege, Namungo, Geita Gold, nk. ndiyo wa kutuletea maajabu kweli! Ukija kwa wachezaji ndiyo usiseme! Kila siku wanaokotwa okotwa tu, huku wakiwa hawa CV yoyote ile ya kueleweka!

TFF nayo imejaa walea vitambi tu! Ukija kwa serikali, eti Waziri wa hiyo michezo ni Profesa wa Jalalani Paramagamba Kabudi! Hivi hata danadana mbili tu anaweza kupiga kweli!!
 
Bloemfontein, Republic of
South Africa

The HOLLYWOODBets COSAFA CUP 2025

Group C – Toyota Stadium

Dakika ya 90' + 5 ' FULL TIME :

Tanzania 0 - 1 Madagascar

Hemed Morocco fatigue imetumaliza Taifa Stars, sasa tuna siku 3 za kupumzika tutarudi kivinge vizuri katika mechi ya mbili ya kundi letu C la Cosafa Cup 2025. Shukrani watazamaji.

View: https://m.youtube.com/watch?v=7ZBDVO_74q8
 
Back
Top Bottom