Binafsi mi naona Simba imecheza vizuri, sikutegemea vile, tangu pre season nilipoona wamedroo na coastal union niliona hapa kazi ipo lakini Simba imecheza vizuri but Mazembe wana chemistry tayariMpira hauko Hivyo Mkuu, Chama Ilimchukua Muda gani Kujihakikishia Namba Simba Na Kuingia Kwenye Mfumo?, Luis Ilimchukua Muda Gani? Hatujacheza Hata Mechi Moja Ya Ushindani Mnaanza Kusema Kuna Pengo La Chama Na Luis! Mtakapo Kosea Ni Kuwafananisha Wachezaji Waliopo Na Walio Ondoka, Tulieni Kocha Atengeneze Wachezaji Wengine. Na Kwa Jinsi Walivyocheza Leo Wachezaji Wetu Wapya Ni Dhahiri huu ni Usajiri Bora, Angalia Pass anazopiga Kanute, Angalia Namna Sakho Anavyotengeneza Nafasi Angalia Uchezaji Wa Banda! Simba Ni Suala La Muda Tuuu Japo Pale Mbele Ndio hatuna Striker si Kagere, Si Mugalu si Bokko
Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.Mi naona hata hivo Simba ni nzuri na imejitajidi sana,wale Mazembe hakuna mwenye mapungufu wanaupiga sana
We ndo usiongee huna hata aibu, umeenda kutembea tu kimataifaSimba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
Halafu Mazembe hawakuwa full squadMkuu hii timu mapungufu yake ni madogo ,we Mazembe umewaonaje ,ngoja tukutane na timu nyingine utawaona simba ni wazuri ,mbona hata Mazembe tumekaza
Uzoefu tu kwa hawa wachezaji wapya ndio hakuna mdauMkuu hii timu mapungufu yake ni madogo ,we Mazembe umewaonaje ,ngoja tukutane na timu nyingine utawaona simba ni wazuri ,mbona hata Mazembe tumekaza
Kocha hatufaiiiHakuna kitu kimenishangaza kwenye usajili kama kubaki Kagere na kusajili kipa.
Mazembe wako vizuri, hata Simba pia wamecheza bado chemistry haijakomaaHalafu Mazembe hawakuwa full squad
Yeah ila hii mechi ni kipimo sahihiUzoefu tu kwa hawa wachezaji wapya ndio hakuna mdau
Timu za ndani tutaziburuza sana tuYeah ila hii mechi ni kipimo sahihi
Hilo tatizo CAF waliliona ndio maana wakamwambia akasome kwanzaKocha wa simba mara nyingi anafel ktk sub hiv kwel timu imezidiwa asa katikati alafu kocha na akili yako unaenda kumtoa kiungo anaingia mshambuaji sijui kasoma wap kama magol yanafungwa na namba 9 tisa,alifeli hivi hivi mechi ya kwanza na wasauz ,na pia bado simba inaitaji mkabaji wa asili kabisa wa kuvuruga timu pinzan waliokuwepo karbu wote si wazuri ktk mechi kubwa ,shida nyingine kapombe na tshabalala wanaitaji wasaidiz kupita wao mara nyng mechi kubwa wanapoteza uwezo ,na sijui kwann walizalau kusajil namba tisa zaid ya kagere na mugalu ,kwa simba hii hatua kubwa kufika ni makundi sizan kama watafka mbele zaid
Kaniharibia siku sana maana unaona kabisa timu katikati ndio kuna tatzo una mambo mawili ya kufanya, toa kiungo ingiza mwingine au ongeza mwingine sio sehemu ina mapungufu na yeye anaenda kuongeza mapungufu kama timu inacheza vzur mchezaj yoyote anafunga tu sio lazma awe mshambuaji tatzo la wachezaj wa mbele weng sio wazur ktk kusaidia kukaba kama timu aina mpra na ndio maana luis itakua shida sana kuziba pengo lake kuliko chama kwa sababu luis mara nyng alikua anasadia kurud nyuma kukaba kama timu imezdiwa kupata winga au namba tisa wa aina iyo sio kaz ndogo weng wanasubr mpra uje sasa kama leo kuna dakika simba ilizdiwa sana mazembe wanashambulia sana na kocha ndio muda huo huo anafanya sub anatoa kiungo anaingiza mshambuaji utakosaje kufungwaHilo tatizo CAF waliliona ndio maana wakamwambia akasome kwanza
We jifariji na haka katuni ila Simba hakuna timu kwa sasa.Team kabambe ilikuwa Nigeria bhana
Leo si simba day?Vip wanasemaje uko nigeria?