NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #381 Ahsante kwa uzi mzuri sana sana kabisa kabisa kabisa sana.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Mar 16, 2021 #382 NAWATAFUNA said: Simba wakipata point moja zaidi itawasaidia kuvuka hatua ya makundi? Click to expand... Yeah, tukitoa sare na Vita hapa kwa Mkapa au na Ahly ugenini, moja tu inatosha.
NAWATAFUNA said: Simba wakipata point moja zaidi itawasaidia kuvuka hatua ya makundi? Click to expand... Yeah, tukitoa sare na Vita hapa kwa Mkapa au na Ahly ugenini, moja tu inatosha.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #383 Back2Back-10 said: Mkuu lazima tuongoze kundi, tunaua farao nyumbani kwake Click to expand... Saaana kaka saana. Simba nguvu moja.
Back2Back-10 said: Mkuu lazima tuongoze kundi, tunaua farao nyumbani kwake Click to expand... Saaana kaka saana. Simba nguvu moja.
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,391 Reaction score 3,373 Mar 16, 2021 #384 Simba hii si ya kawaida. Hadi ss ni timu pekee kwenye league ya mabingwa yenye clean sheet.
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Mar 16, 2021 #385 This is Simba.Caf wanameshapata salam za mnyama pamoja na kuzuia mashabiki
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #386 Lupweko said: Yeah, tukitoa sare na Vita hapa kwa Mkapa au na Ahly ugenini, moja tu inatosha. Click to expand... Sasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai?
Lupweko said: Yeah, tukitoa sare na Vita hapa kwa Mkapa au na Ahly ugenini, moja tu inatosha. Click to expand... Sasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai?
Pununkila JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 687 Reaction score 1,714 Mar 16, 2021 #387 Wahehe msijifanye mko bize na matokeo ya Simba....mrudishieni WEMA mbwa wake .....
tropa92 Senior Member Joined Jan 25, 2017 Posts 156 Reaction score 217 Mar 16, 2021 #388 NAWATAFUNA said: Sasa mkuu As Vita kesha jeruiwa huko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simb,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai? Click to expand... Tunaongeza maumivu kwenye mshono Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
NAWATAFUNA said: Sasa mkuu As Vita kesha jeruiwa huko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simb,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai? Click to expand... Tunaongeza maumivu kwenye mshono Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #389 tropa92 said: Tunaongeza maumivu kwenye mshono Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nimekupata nimekupata mkuu. Utaratibu ni uleule"Kwa Mkapa atokimtu"
tropa92 said: Tunaongeza maumivu kwenye mshono Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nimekupata nimekupata mkuu. Utaratibu ni uleule"Kwa Mkapa atokimtu"
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,534 Reaction score 2,500 Mar 16, 2021 #390 OKW BOBAN SUNZU said: Mo Dewji pigia kocha amtoe Mugalu. kama hataki aachie ngazi Click to expand... Kaka punguza munkali
OKW BOBAN SUNZU said: Mo Dewji pigia kocha amtoe Mugalu. kama hataki aachie ngazi Click to expand... Kaka punguza munkali
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Mar 16, 2021 #391 NAWATAFUNA said: Sasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai? Click to expand... Vita anakaaa mapema sana sina shaka na kikosi changu!!
NAWATAFUNA said: Sasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai? Click to expand... Vita anakaaa mapema sana sina shaka na kikosi changu!!
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,534 Reaction score 2,500 Mar 16, 2021 #392 OKW BOBAN SUNZU said: Serikali ya Samia itoe tamko Click to expand... Kaka chumba sana, tangu lini Samia akawa na serikali?
OKW BOBAN SUNZU said: Serikali ya Samia itoe tamko Click to expand... Kaka chumba sana, tangu lini Samia akawa na serikali?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #393 park don said: Vita anakaaa mapema sana sina shaka na kikosi changu!! Click to expand... Aminiaaaa,miamiaaaaa. Simba nguvu moja.
park don said: Vita anakaaa mapema sana sina shaka na kikosi changu!! Click to expand... Aminiaaaa,miamiaaaaa. Simba nguvu moja.
K kamarah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 1,224 Reaction score 2,433 Mar 16, 2021 #394 kyata said: Kaka chumba sana, tangu lini Samia akawa na serikali? Click to expand... Ila imekaa poa Sana mkuu, kusema serikal ya Mam Samia Suluhu Hassan ...au unasemaje mkuu!? Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
kyata said: Kaka chumba sana, tangu lini Samia akawa na serikali? Click to expand... Ila imekaa poa Sana mkuu, kusema serikal ya Mam Samia Suluhu Hassan ...au unasemaje mkuu!? Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,910 Reaction score 18,558 Mar 16, 2021 #395 Scars said: Kocha wa el merick kaanza paniki za mapema Click to expand... Anakumbuka mwenzake alifukuzwa baada ya kutoa sare na Simba, sasa anawaza itakuwaje baada ya yeye kufungwa na simba?
Scars said: Kocha wa el merick kaanza paniki za mapema Click to expand... Anakumbuka mwenzake alifukuzwa baada ya kutoa sare na Simba, sasa anawaza itakuwaje baada ya yeye kufungwa na simba?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #396 Morison kamtia aibu Maulid Kitenge kwa uongo wake.
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Mar 16, 2021 #397 Simara said: tatizo jezi Click to expand... Hakika jezi zimewaponza
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,534 Reaction score 2,500 Mar 16, 2021 #398 kamarah said: Ila imekaa poa Sana mkuu, kusema serikal ya Mam Samia Suluhu Hassan ...au unasemaje mkuu!? Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Tusubiri 2025 akigombea na kupitishwana Chama tutampa, Ila kwa Sasa Serikali imeundwa na Mh. JPM
kamarah said: Ila imekaa poa Sana mkuu, kusema serikal ya Mam Samia Suluhu Hassan ...au unasemaje mkuu!? Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Tusubiri 2025 akigombea na kupitishwana Chama tutampa, Ila kwa Sasa Serikali imeundwa na Mh. JPM
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #399 bemg said: This is Simba.Caf wanameshapata salam za mnyama pamoja na kuzuia mashabiki Click to expand... Mashabiki walikua nje ya uwanja wanashangilia kama vile mpira wanauwona. Aisee mashabiki wa Simba awana mpinzani kwa Bongo hii.
bemg said: This is Simba.Caf wanameshapata salam za mnyama pamoja na kuzuia mashabiki Click to expand... Mashabiki walikua nje ya uwanja wanashangilia kama vile mpira wanauwona. Aisee mashabiki wa Simba awana mpinzani kwa Bongo hii.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,345 Reaction score 13,370 Mar 16, 2021 #400 Hadi hapa kwa 95% hata wakiharibu mechi zilizobaki amepita kwenda round inayofuata