Full Time: Simba SC 1 - 0 Kagera Sugar FC || NBC PL || KMC COMPLEX || 22.06.2025

Full Time: Simba SC 1 - 0 Kagera Sugar FC || NBC PL || KMC COMPLEX || 22.06.2025

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,729
Reaction score
13,752
Wakuu

Simba mnyama leo majira ya saa kumi kamili kwa saa za Africa masharki watashuka dimbani uwanja wa manispaa ya Kinondoni kuwakaribisha matajiri wa sukari mkoani Kagera, Kagera Sugar FC kunako ligi kuu ya NBC

Ikumbukwe kuwa Kagera Sugar tayari ameshuka daraja,huku Simba akipigania pointi tatu muhimu kutoa presha kwa wapinzani wao wa karibu Yanga kupigania ubingwa

Karibuni kwa updates.
 
I wish ingekuwa ni ile Kagera sugar ya zamani, na ambayo ina uhakika wa kusalia kwenye ligi! Bahati mbaya hii Kagera sugar ya sasa tayari imeshuka daraja, lakini pia ipo chini ya Juma Kaseja.
 
Kitu gani kimewapata Fawanews?
Nani anaweza kua mjanja zaidi kwenye Jukwaa hili la michezo atupe site mbadala ya kufuatilia hii mbungi ukiacha Azam Max?
 
I wish ingekuwa ni ile Kagera sugar ya zamani, na ambayo ina uhakika wa kusalia kwenye ligi! Bahati mbaya hii Kagera sugar ya sasa tayari imeshuka daraja, lakini pia ipo chini ya Juma Kaseja.
Hii Kagera ya sasa ni ya GSM.. itakuwa wameahidiwa vinono
 
Anapigwa kagera utopolo wanatoa milio
 
Back
Top Bottom