Full Time: JKT Ruvu 0-2 Simba S.C

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Yule Mnyama ambaye anaonekana kuanza kurudisha makali yake ya uwindaji awapo mwituni, Simba S.C.. Leo kaendelea kutakata ipasavyo "msituni kwake" Taifa Stadium.

Na hii ni baada ya kuwaadhibu ipasavyo watoto wa Abdalah Kibaden.. JKT Ruvu.. kwa goli 2-0.

Waliopeleka kilio kwa wajeda ni Hamis Kiiza 54.. na Daniel Lyanga 62.
 
Hapo Ajib Ibrahim hakuwepo angekuwepo wangepata kipigo cha aibu kama kile walichopokea yeboyebo.
 
Back
Top Bottom