Jana sikujua kama mnacheza mkuu nimeona tu mda huu humu ,kumbe mlikandwa๐๐๐View attachment 3172003
Sawa ๐
Baadae utajua tuJana sikujua kama mnacheza mkuu nimeona tu mda huu humu ,kumbe mlikandwa๐๐๐
Inachezwa mda gani mkuu?Baadae utajua tu
Saa 1 kamili usiku kwa saa za AFRICA MASHARIKIInachezwa mda gani mkuu?
Leo Taifa halitatiwa Aibu, MUNGU ni wetu sote.
Saa moja usikuInachezwa mda gani mkuu?
Usisahau kutupa Real time / on-time updates za mechi sio unakimbia uzi mkuu
Acha bangeInachezwa mda gani mkuu?
Mungu yupi ๐Leo Taifa halitatiwa Aibu, MUNGU ni wetu sote.
Nimeipenda๐ดโช๏ธ
๐๐๐๐ Mdaka mishaleeView attachment 3172003
Sawa ๐
Wa Kizimkazi Ndugu yanguMungu yupi ๐
Hapo sawaWa Kizimkazi Ndugu yangu
Naona ulisahau kidogo, nikaona sio mbaya kukumbushanaHapo sawa
Waarabu wakiwa kwao,