Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Oct 16, 2018 #2 Ndumbula Ndema said: View attachment 900126 Click to expand... Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli
Ndumbula Ndema said: View attachment 900126 Click to expand... Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,625 Reaction score 38,751 Oct 16, 2018 #3 Mshana Jr said: Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli Click to expand... Tatizo kubwa lipo kwenye ulinzi pia
Mshana Jr said: Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli Click to expand... Tatizo kubwa lipo kwenye ulinzi pia
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,046 Oct 16, 2018 #4 Mshana Jr said: Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli Click to expand... Mbona Goli Ni kubwa Sana inakuwaje mtu anapiga nje. Au aaa ya kupiga anakaona kagoli kadoooogoo. Au inakuwaje huwa wanahamisha labda
Mshana Jr said: Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli Click to expand... Mbona Goli Ni kubwa Sana inakuwaje mtu anapiga nje. Au aaa ya kupiga anakaona kagoli kadoooogoo. Au inakuwaje huwa wanahamisha labda
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,800 Reaction score 4,908 Oct 16, 2018 #5 kazi ilobaki ni kumchinja Lesotto kwao,
squirtinator JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 2,765 Reaction score 4,193 Oct 16, 2018 #6 Trimmer said: kazi ilobaki ni kumchinja Lesotto kwao, Click to expand... Tusibweteke sana kama tulivyobweteka kumfunga Cape Verde kwao.
Trimmer said: kazi ilobaki ni kumchinja Lesotto kwao, Click to expand... Tusibweteke sana kama tulivyobweteka kumfunga Cape Verde kwao.
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,486 Reaction score 12,334 Oct 16, 2018 #7 Yote kwa yote pongezi kwa taifa stars wamejitahidi kwa uwezo wao.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 41,021 Reaction score 47,109 Oct 16, 2018 #8 Safi
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,941 Oct 16, 2018 Thread starter #9 Trimmer said: kazi ilobaki ni kumchinja Lesotto kwao, Click to expand... Uganda anaongoza 2_0 Ht
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,881 Reaction score 5,022 Oct 16, 2018 #10 Hongera kwa timu ya taifa angalau leo wametutoa aibu! Shida hii timu haieleweki inashinda mchezo 1 afu inafungwa 5! Tuombe isiwe hivyo tena! Lazima tufuzu this time......
Hongera kwa timu ya taifa angalau leo wametutoa aibu! Shida hii timu haieleweki inashinda mchezo 1 afu inafungwa 5! Tuombe isiwe hivyo tena! Lazima tufuzu this time......