Madaktari wakae chonjo jamani, kwa utaalamu wangu wa kitabibu naona kabisa Muhongo na Werema wana hyperventilate na kuhema kwa haraka. Lazima watapata kitu kinaitwa Myocardial Infarction yani Heart Attack!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.