Gerald Frank
Member
- Sep 25, 2013
- 79
- 12
...asante mkuu,ngoja nitume mzigo...
thanx mkuu.
Thank u mkuu, japo mi sinaga zali nazo yaan naenda nazo fresh mwishoni zinakuja kuzingua
thanx kwa kuwahamasisha mkuuShukran kwa taarifa,wenye vigezo wachangamkie fursa hizo jamani.
hizi za commonweath taarifa zake azifunguki jamani kwenye website ya wizara, nipo mkoan nisaidieni nifanyeje? Hata email kwa ps zinagomathanx kwa kuwahamasisha mkuu
Kuomba kupitia wizarani,deadline ilishapita ilikuwa ni tarehhe 15/10/2013.hizi za commonweath taarifa zake azifunguki jamani kwenye website ya wizara, nipo mkoan nisaidieni nifanyeje? Hata email kwa ps zinagoma