David ngayanimo Member Joined Nov 8, 2018 Posts 38 Reaction score 43 Sep 1, 2026 #1 Ukwaju wa kitambo hapa 0767 542 202 Akiwa na msanii bab lee full story fuatilia interview hii Attachments Mahojiano na bab lee.wav Mahojiano na bab lee.wav 9.5 MB
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,968 Reaction score 98,097 Sep 2, 2026 #2 Ukwaju wa Kitambo akiwa kwenye group aache umachi no kujifanya taikuni ,yeye na siter wa ujenzi zone ku-own group la facebook lenye subscriber >300k wanaona wametoboa masharti kibao utafikiri unaomba VISA ya US.
Ukwaju wa Kitambo akiwa kwenye group aache umachi no kujifanya taikuni ,yeye na siter wa ujenzi zone ku-own group la facebook lenye subscriber >300k wanaona wametoboa masharti kibao utafikiri unaomba VISA ya US.
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,770 Reaction score 26,202 Sep 2, 2026 #3 naona umekuja kujipigia debe