Full handas

Full handas

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Mla mirungi mmoja baada ya kumaliza na handas kupanda alikwenda hoteli akaagiza supu, mhudumu akamletea yakawa hivi
Mla mirungi: Mhudumu samahani njoo.
Mhudumu: Ndio mzee.
Mla mirungi: Hebu onja hii supu.
Mhudumu: Vipi mzee haina chumvi?
Mla mirungi: Ebwana onja hii supu.
Mhudum: Mzee iko baridi tukubadilishie?.
Mla mirungi: Nasema onja supu.
Mhudumu: Mzee kama nyama kidogo nikuongezee?.
Mla mirungi: oohoo onja supu nasema.
Mhudumu: haya kijiko kiko wapi?
Mla mirungi: Enheeee kijiko kiko waaaapi.
 
duh, jamaa mtata kweli huyo..i guess ameshaiba kijiko staili za nyerere!lol
 
(Mlamlungi)😱nja hii soup.(Mhudumu):nina allergy na nyama ya ng'ombe,we sema tu una shida gani?
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaaa...ahaaa dah? Ehee kwel kaz ipo yan jamaa mtata kwel kwel
 
Mla mirungi mmoja baada ya kumaliza na handas kupanda alikwenda hoteli akaagiza supu, mhudumu akamletea yakawa hivi
Mla mirungi: Mhudumu samahani njoo.
Mhudumu: Ndio mzee.
Mla mirungi: Hebu onja hii supu.
Mhudumu: Vipi mzee haina chumvi?
Mla mirungi: Ebwana onja hii supu.
Mhudum: Mzee iko baridi tukubadilishie?.
Mla mirungi: Nasema onja supu.
Mhudumu: Mzee kama nyama kidogo nikuongezee?.
Mla mirungi: oohoo onja supu nasema.
Mhudumu: haya kijiko kiko wapi?
Mla mirungi: Enheeee kijiko kiko waaaapi.

Kaka hiyo movie coming to Amerika mwisho kabisaa....where is the spoon.....ahaaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom