🤣🤣ukikua utaelewa,kuna watu wanaishi hapo,wewe endelea kuishia wengine wanaishi,tena hiyo ni ndogo kuna nyumba hadi za dollar 3000, endelea kuridhka na chumba chako cha elfu30🤣🤣🤣🤣Kama ni hizi za hapa Utamu beach Ndugu dalali kwa bei hiyo hata wewe unaona ni Halali???
Uvivu tu wa kufanya research 🤣🤣🤣 kuna watu wanakaa chumba kimoja na wanalipa milioni moja kwa mwezi,wewe endelea kusema anapiga mwingi alafu huna kitu🤣🤣🤣,kuna watu wakisema tu anapiga mwingi,noti zinaingiaHata middle class mzungu hapangi hapo ni gharama
Walengwa ni kina jay z
Kuna mtu alinitafuta akawa anataka kiwanja masaki ofa yake milioni 200🤣🤣🤣nilicheka sanaa,kupanga ni kichagua, unajua elfu 50 ya kenya hapa tu jirani TANZANIA ni shingapi?mkuu hivyo vitanda, swimming pool na tv ndio ime ongeza bei ehh 😂
Ulicheka kwamba hawezi kupata kiwanja cha pesa hiyo?Kuna mtu alinitafuta akawa anataka kiwanja masaki ofa yake milioni 200🤣🤣🤣nilicheka sanaa,kupanga ni kichagua, unajua elfu 50 ya kenya hapa tu jirani TANZANIA ni shingapi?
Kuishia ndio kukoje?Ulicheka kwamba hawezi kupata kiwanja cha pesa hiyo?
Watu wanaishi aisee, wacha sie tuendelee kuishia…😥
Hahaha!Kuishia ndio kukoje?
hahaha hatari sanaHahaha!
Kubangaiza.
Sasa mtu nyumba kwa mwezi analipa m5 na ushee, huyo mwenzetu?
Ama mkuu wewe sio mwenzetu😁hahaha hatari sana
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max 😂Ama mkuu wewe sio mwenzetu😁
Tusije tukawa tunakuweka kwenye kundi usilostahili kuwa.
trump ni mchoraji tu hata lile jengo la trump tower linatumika jina lake kwa heshima tureal estate ndio biashara isiyokuwa na risk na matajiri wengi akiwemo bwana trump wametajirika kwa real estate
Na uzuri unaweza kukaa zako na mambo mengine huku inajiendesha yenyewe, na bank zote zinakubembeleza ukakope
Imagune yale magorofa yote ya masaki na upanga yanajaa wapangaji na wote wale wanalipa kwa dola
Hahaha!Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max 😂
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, makamu ni Monetary doctor katibu ni min -me, wakili wa chama ni SelikavuHahaha!
Kwamba majobless sugu
Hahaha!Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, makamu ni Monetary doctor katibu ni min -me, wakili wa chama ni Selikavu
JICHOME UNUSEE MDOGO WANGU🤣🤣ukikua utaelewa,kuna watu wanaishi hapo,wewe endelea kuishia wengine wanaishi,tena hiyo ni ndogo kuna nyumba hadi za dollar 3000, endelea kuridhka na chumba chako cha elfu30🤣🤣🤣🤣
Heshima yako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro maxMimi ni raisi wa ma jobless pro max, makamu ni Monetary doctor katibu ni min -me, wakili wa chama ni Selikavu