No commentVp tena?
Daahh kuna demu nimemfukuzia semista tatu ananizingua tuu.!! Yan mpka nkaamua nifute hadi namba zake kabsaa[emoji23] [emoji23]Leo inabidi tujadiliane hili, ewe mwanaume unae mfuatilia dem wiki, mwez, mwaka mpak miaka inakatika mi sikukatishi tamaa nimekuja na huu uzi kwaajili yako.
NB:Kwa sasa hakuna dem ambaye hana mshikaji kwaiyo wewe fukuzia tu huenda siku moja huyo dem akaachana na mpenzi wake na ndipo akaja kwako kwahiyo wewe fukuzia tu hata kama ni miaka sita.
Nataka niwaambie kuwa wanaume wenzangu asilimia kubwa ya wanawake wapo na wapenzi wao kwahiyo ukimfuata dem na ukamueleza hisia zako akakukubalia ujue jamaa ndo kaisha achwa hivyo.
HAKUNA MWANAMKE AMBAYE HANA MPENZI KWA SASA WEWE FUKUZIA TU MI MWENYEWE KUNADEM NINAMFUKUZIA HIVI SASA NI MWAKA WA SITA HUENDA HILO BOYA LITAACHWA BAADA YA MWAKA WA TISA HUKO NA HILO LIDEM LITAKUJA KWANGU NAHITAJI MAOMBI YENU.
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
We semester tatu tu una give up watu tulifukuzia hadi semester 6 kabisa lakn bado tumo tu japo nilimalza college nakuendelea kukataliwa na binti hadi sasa nimo tu ila bint kaisha omba po lakn mm bado huwa sipendag kukataliwa mm.Daahh kuna demu nimemfukuzia semista tatu ananizingua tuu.!! Yan mpka nkaamua nifute hadi namba zake kabsaa[emoji23] [emoji23]
Ila kutokana na huu uzi mkuu wacha nimfuatilie tena mana huez jua

Okayi see