Fukuto la mgomo wa vyombo vya usafiri nchini

Fukuto la mgomo wa vyombo vya usafiri nchini

KISIMASA

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
39
Reaction score
1
Kuna tetesi kuwa unaweza ibuka mgomo mkubwa wa daladala na mabasi yatokayo na yaendayo mikoani. Mfano tumesikia mara kama 2 wks ago , moshi nako daladala za mjin ziligoma kwa siku moja wiki iliyopita na leo kulikuwa na fukuto la mgomo moto/baridi wa magari yatokayo na yaendayo mikoani. Wadau mnalionaje hili. Kwanini lisitatuliwe kabla halijaleta madhara? "mzaha mzaha hutubua usaha,na peme usijapopema hata ukipema si peme tena"
 
ugonjwa wa kudondoka jukwaani+presha=kifo cha dhaifu
 
kila kitu suluhu ni kugoma hahahahaha
 
Mm nipo Ubungo Terminal naelekea Bara kwetu hakuna mgomo wowote na km bado mnatafuta ka mgomo kokote anzisheni kabla hao jamaa wanaolipua huko Kenya hawajasogea kwetu
Wao hawachagui maana mtoto akililia wembe mpe, Amani mnaichezea
 
Liwalo na liwe,kiuli ya kilaza wa taifa,ila kibopa.
 
...wagome tu...wakatafute kazi nyingine...hahahahaaaaaaa
 
Hiyo ndiyo njia sahihi maana ya kidipromasia serikali hawataki.
 
wagome tu...muda si mrefu hata sisi waagizaji na wanunuzi wa vyakula kutoka mikoani tutagoma kuleta chakula Dar es Salaam...mpaka kieleweke!
 
Kuna tetesi kuwa unaweza ibuka mgomo mkubwa wa daladala na mabasi yatokayo na yaendayo mikoani. Mfano tumesikia mara kama 2 wks ago , moshi nako daladala za mjin ziligoma kwa siku moja wiki iliyopita na leo kulikuwa na fukuto la mgomo moto/baridi wa magari yatokayo na yaendayo mikoani. Wadau mnalionaje hili. Kwanini lisitatuliwe kabla halijaleta madhara? "mzaha mzaha hutubua usaha,na peme usijapopema hata ukipema si peme tena"

Waache wagome. kila sekta ikigoma ujasiri utatuingia, tutaingia mtaani kama Tunisia.
 
Presidaaaa J.Kiwete at work accomplishing missionary work moving from one continent to another like CHRISTOPHER COLUMBUS-HE WILL SOON DISCOVER AMERICA AND BECOME DAMN FOOL LIER LIKE CHRISTOPHER COLUMBUS, HE HE HEE HEEEE HEEEEEEE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom