fujo za wachina

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

Gazeti la chama tawala cha china, People’s Daily ambalo limezoea kuwa kitovu cha kusambasa habari, sasa limejikuta likiwa habari baada ya watu wenye fikra za kitukutu kuona jengo jipya la gazeti hilo limefanana na nyeti za kiume.

Jengo hilo lenye urefu wa mita 150, hivi sasa bado linaendelea kujengwa jijini Beijing. Kutokana na muundo huo usiokua wa kawaida, picha za kibunifu zikaanza kuibuka katika website ambayo ni kama “Twitter ya China,” inayoitwa Sina Weibo.
 
Wakimaliza hilo watajenga linalofanana na nyeti za kike labdaaa sijui...I am just thinking!!!:coffee:
 
Hahaha yaani jamaa wame-photoshop jengo la makao makuu ya CCTV-Beijing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…