Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Wakuu salaam Sana,Kuna jamaa Wana ofisi nzuri tu pale ubungo daraja opp na njia ya kwenda chuo kikuu Cha dsm na mmoja wao anaitwa Joshua .
Niliwalipa pesa vifaranga hawakunipa toka mwezi wa tisa mwaka jana hadi leo na Sasa ofisi wamefunga simu hawapokei.
Nimechanyikiwa Sana maana ndio mtaji nilikuwa nautegemea kuendesha maisha na nina familia.
Nimefanya kila juhudi wanilipe ila imeshindikana ,jamaa simu inaita tu na what's up yupo online ila hajibu msg .
Nilienda Polisi Urafiki wakasema jamaa anadaiwa na watu wengi Sana !
Kama hawana msaada nifanyeje?