Fuga kuku uwe tajiri sasa

Fuga kuku uwe tajiri sasa

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
 
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji ya yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
Mkuu kwann usiweke bei kabisa kupunguza kero za kupigiana simu weka kodi na bei ya mauzo ili mtu akikupigia ajue mnafanya majadiliano tu
 
Mkuu kwann usiweke bei kabisa kupunguza kero za kupigiana simu weka kodi na bei ya mauzo ili mtu akikupigia ajue mnafanya majadiliano tu
Huwa wananikera sana wanaoweka matangazo bila bei.
 
Mkuu kwann usiweke bei kabisa kupunguza kero za kupigiana simu weka kodi na bei ya mauzo ili mtu akikupigia ajue mnafanya majadiliano tu
Very right, piga picha eneo na hio miundo mbinu, weka bei then itasaidia kutu-motivate, haikugharimu chochote kile
 
Back
Top Bottom