Fuel Prices Drop , Relief ama Serikali PR Tu?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
417
Reaction score
260
Wakenya wamepata good news kidogo baada ya Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kutangaza kushuka kwa bei ya mafuta kuanzia April 16 hadi May 14, 2026.

Kulingana na taarifa, bei ya Super Petrol imeshuka kwa KSh 9.37 per litre na Diesel kwa KSh 10.21 per litre ndani ya Nairobi. Hii imechangiwa na serikali kupunguza VAT kutoka 13% hadi 8% kupitia National Treasury.
Lakini twist iko hapa

Wakati petrol na diesel zimeshuka, kerosene haijabadilika kitu imeacha wengi wakijiuliza kama hii move inalenga nani hasa, considering kerosene hutumiwa sana na low-income households.
Kwa ground, wananchi wana mixed reactions:

Wengine wanasema “finally, afadhali kidogo kwa mfuko”
Wengine wanasema hii ni temporary relief before elections politics kick in
Swali kubwa

Hii ni real economic relief ama ni serikali trying to calm wananchi?Na mbona kerosene imeachwa nje?
 
Bei imefika ksh 197 kwa lita petroli na diesel hii ni kama Tsh 3987.28. Mambo yatakuwa magumu tayari nauli imeongezwa.
 
Bado hawajatufikia, na tayari seeikali yao imechukua hatua ya kupunguza vat kwa asilimia 50, kutoka 16 hadi nane, hapo malawi sasa!
 
Bado hawajatufikia, na tayari seeikali yao imechukua hatua ya kupunguza vat kwa asilimia 50, kutoka 16 hadi nane, hapo malawi sasa!
hii ni baada ya serikali kupunguza ilikuwa 203
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…