bei ya mafuta kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta Kenya kwasababisha baadhi ya mitaa Wananchi kuingia mtaani leo Mei 18, 2026

    Hii ni Barabara ya Thika kuelekea mjini... wenye magari wanalazimika kurudi....Vijana wanawataka warudi nyumbani wasiingie town....hofu ya wezi ni kubwa pia Maeneo ya Kitengela ============= Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, ametangaza kusitishwa kwa mgomo wa wasafarishaji kwa muda wa wiki...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fuel Prices Drop , Relief ama Serikali PR Tu?

    Wakenya wamepata good news kidogo baada ya Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kutangaza kushuka kwa bei ya mafuta kuanzia April 16 hadi May 14, 2026. Kulingana na taarifa, bei ya Super Petrol imeshuka kwa KSh 9.37 per litre na Diesel kwa KSh 10.21 per litre ndani ya Nairobi. Hii...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fuel Prices Zapanda Vibaya! EPRA Yawasha Moto Kenyans Wabaki Wanajiuliza: Hii Ni Survival Ama Struggle?

    Kenyans wamepigwa na shock tena after Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kuongeza fuel prices for April–May cycle. Petrol imepanda by Ksh28.69 na Diesel by a massive Ksh40.30 per litre. Hii inamaanisha sasa unajaza tank ukilia ndani ndani . Mombasa ndio imefeel hii heat vibaya...
Back
Top Bottom