CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mu hali gani wanajamii
Naomba kufahamu fuel consumption ya Nissan March yenye CC 950 ya mwaka 1997.....
Natanguliza Shukrani....
Mu hali gani wanajamii
Naomba kufahamu fuel consumption ya Nissan March yenye CC 950 ya mwaka 1997.....
Natanguliza Shukrani....
Peleka garage mkuu watadiognize kujua tatizo
Au inakaribia expiry date...
Duuh.hiyo kali 8.5km kwa 1lt imekuwa gx100 au six cylinder? Angalia nozel kama zimekufa au ni za kusafisha.pia plug badilisha usinunue za buku 4 nunua zile orginal ya moja 20 elf au 15 pia mwaga engine oil weka ya bp na gear box oil ya bp.pia usisahau oil filter kutoa na air cleaner badilisha.ukishafanya hivyo rudi kutupa majibu.kama imetoka japan itakuwa
Nawashukuru sana wanajf...
Niligundua kuwa pale nilipokuwa nanunua fuel walikuwa wananichakachua, nimebadili kituo sasa naenjoy.kama kawa!!
Shukran kwenu....