FTA Channel!

Ntemwi

Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
58
Reaction score
17
Nimefanikiwa kuipata package ya continetal kwa kutumia king'amuzi cha Zuku ila tatizo channel hizi sauti inakata kata ila picha ziko safi tatizo nini wadau?
 
Last edited by a moderator:

hapo huna ujanja wowote maana jama unatumia zuku vile vidogo ni shida.kuna decoda fulani hivi za zuku zenyewe ni kubwa kiasi basi hizo hazisumbui.
Hapo nakushauri nunua mpg4 yoyote kuanzia 50000 inategemea na ulipo
 
Mkuu mm nipo Tarime kwahiyo mpg4 yoyote itafaa kwa hili dish la zuku?
 
Ndio mpg4 yoyote itafaa ingawa pia kuna baadhi ya matoleo zinakatakata pia ila hazijafikia hicho kizuku.kama utanunua wiztech nakushauri usinunue 8035 ni ovyo sana
 
au kama uko vizuri nunu qsat 23g,26 au 28g mimi natumia 23 iko poa napata package yote ya continental
 
mimi natumia zuku ile dicoda ndogo naombeni mwongozo niweze kutumia na mimi continetal
Ntemwi
 
Last edited by a moderator:
mimi natumia zuku ile dicoda ndogo naombeni mwongozo niweze kutumia na mimi continetal
Ntemwi

Fanya hv, kama unaweza kushka spana legeza ile sehem iliyo shkilia dish halaf pandisha kidogo kidogo juu dish lako liwe kama linataka kukinga maji, baada ya hapo nenda kwenye kinga'muz chako unaenda kusach single satelite chanel za continetal zitaingia zenyewe, cjui kama umenielewa japo nimeeleza kwa mkato.
 
Last edited by a moderator:

Vip kuhusu star times? Je inawezekana kupata chaneli za continental? Naomba mwongozo wako mkuu
 
mimi nina mediacom mft940 plus hd nayo inkata sauti hivyo hivyo ila naitumia kwa kidishi kidogo sana, mna uhakika ni receiver inayofanya sauti ikate? na sio dishi au wenyewe huko continental?
 
Mkuu itakuwa ni receiver maana nilijaribu kutumia decoder ya Azam haikuleta tatizo kabisa ila ilikuwa ya kuazima kwa mtu, nimejarbu kutafuta madukan waniuzie decoder ya Azam yenyewe wanuza 80,000 CHIEF MKWAWA.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu itakuwa ni receiver maana nilijaribu kutumia decoder ya Azam haikuleta tatizo kabisa ila ilikuwa ya kuazima kwa mtu, nimejarbu kutafuta madukan waniuzie decoder ya Azam yenyewe wanuza 80,000 CHIEF MKWAWA.

ok asante kwa mrejesho ngoja nichunguze humu ndani huwenda likawa ni tatizo la settings tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu itakuwa ni receiver maana nilijaribu kutumia decoder ya Azam haikuleta tatizo kabisa ila ilikuwa ya kuazima kwa mtu, nimejarbu kutafuta madukan waniuzie decoder ya Azam yenyewe wanuza 80,000 CHIEF MKWAWA.

Kama decoder yenyewe tu wanaiuza elfu 80,000 bora ununue set nzima kwa elf 99000.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…