Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,192
- 79,631
Tunaanza na Pamba Jiji #NBCPremierLeague 2025/26š°
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Dakika ya 17
Max nzengeli anakosa goli la wazi
Dakika ya 24
Yng 0-0 pmb
Dakika ya 28
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 38
Yanga SC wanapata free kick ecua anapiga na kukosa
Dakika ya 40
Pamba wanafanya mashambulizi
Dakika ya 45+4
Lasine kouma goaaaal
HT| Young Africans SC 1-0 Pamba Jiji
Kipindi cha pili kimeanza
Yng 1-0 pmb
Dakika ya 58
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika 62 Goaaaal - Yanga
Max Nzingeli
Dakika ya 72
Mabadiliko Anatoka Edmund anaingia pacome na Anatoka boyeli anaingiadube
Dakika ya 74
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 90+4
Goaaaaal la tatu mudathir
š š| Young Africans SC 3-0 Pamba Jiji
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Dakika ya 17
Max nzengeli anakosa goli la wazi
Dakika ya 24
Yng 0-0 pmb
Dakika ya 28
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 38
Yanga SC wanapata free kick ecua anapiga na kukosa
Dakika ya 40
Pamba wanafanya mashambulizi
Dakika ya 45+4
Lasine kouma goaaaal
HT| Young Africans SC 1-0 Pamba Jiji
Kipindi cha pili kimeanza
Yng 1-0 pmb
Dakika ya 58
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika 62 Goaaaal - Yanga
Max Nzingeli
Dakika ya 72
Mabadiliko Anatoka Edmund anaingia pacome na Anatoka boyeli anaingiadube
Dakika ya 74
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 90+4
Goaaaaal la tatu mudathir
š š| Young Africans SC 3-0 Pamba Jiji



