Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,392
- 8,295
FIFA irekebishe sheria timu za Taifa ziwe zinaruhusiwa kukodisha mamluki. Sisi mapema sana tungeanza na Mayele na Chama😎😎Washambuliaji wao wote wa kigeni . Tz uswahili mtupu
FIFA irekebishe sheria timu za Taifa ziwe zinaruhusiwa kukodisha mamluki. Sisi mapema sana tungeanza na Mayele na Chama😎😎Washambuliaji wao wote wa kigeni . Tz uswahili mtupu
Ili kutizama fitness yake ikoje mkuu.Feitoto anaingia dakika ya 80...
Kocha kaharibuFeitoto anaingia dakika ya 80...
Ilitakiwaje Mkuu?Kocha kaharibu
Ujinga wa Tanzania wakampa Uraia mamluki Kibu Denis kumbe hasara tupu.😃😃FIFA irekebishe sheria timu za Taifa ziwe zinaruhusiwa kukodisha mamluki. Sisi mapema sana tungeanza na Mayele na Chama😎😎
Ugali wa sukari umemnenepesha.Feitoto anakosa bao...anakosa match fitness inavyoonekana