Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,189
- 1,587
Leo kwenye ligi ya nchini iraq ku
likuwa na mechi iliyowakutanisha ndugu kutoka nchi moja, nao ni Waziri Junior Shentembo, akiwa timu moja na Tuisila kisinda wote wanaichezea timu ya Al minaa Sc iliyokutana na Al talaba anayochezea Simon Msuva..
Matokeo: Al minaa 2- 3 Al talaba.
Kisinda alifunga goli la kwanza.
kumbukeni hawa wote ni legends pale jangwani..kwa nyakati tofauti×2.
Hatahivyo haya matokeo hayajaleta tija kwenye mikeka yangu..