Basi endelea kupata Raha etiii!🤣Tulia Uto,....mmesharoga tayari huku
Kinyonge. 😀Hadi sasa
Nipo bandani now , leo nilikuwa sina ratiba za kucheki mpira ila matokea ya kipindi Cha kwanza yamenivuta niende bandani na nimevaa track kabisa kwa ajili ya kubana mbupu vizuribola ubaki tu home utaacha ndala
Refa amalize mpira bana mwanangu analia hukoo. 😀Wanyonyesha toka lini
Nimechukua maamuzi magumu ya kwenda japo najua Simba kwa kuFosi wapo 🔥 🔥 na Namungo hawawwzi kujishikilia ila nimekuja tu huenda nikarudi na furaha 😂Tayari amechezea viwili.
Hamna kwa leo pumzika hawa Namungo sidhani kama wataweza kushikilia bomba kwa dakika zote hizi zilizobakia. 😃
Ngoja tusubiri dakika 90 tuonebola ubaki tu home utaacha ndala
Mangungu kaweka washirikina kibao humu uwanjani. Tunajaribu kuwafurumusha. Tumewatoa wawili mpaka sasaKipenzi Changu uko wapi ulete za kihasibu. 🤣🤣
Sawa tumeitunzaTunzeni hii comment
Simba itafanya come back ila maumivu yanahamia Jangwani
Mapema tu Oura anatuwakilisha vizuri.
Mangungu kaweka washirikina kibao humu uwanjani. Tunajaribu kuwafurumusha. Tumewatoa wawili mpaka sasa
Yamekuwa hayo!MLIGO ANACHOMA....SIMBA IKITAKA IFANYE VIZURI KIMATAIFA INATAKIWA ITAFUTE FULL BEKI MZURI WA UPANDE WA KUSHOTO
Wewe bana taratibu usije ukapasua ukakosa bikra 72 peponiNipo bandani now , leo nilikuwa sina ratiba za kucheki mpira ila matokea ya kipindi Cha kwanza yamenivuta niende bandani na nimevaa track kabisa kwa ajili ya kubana mbupu vizuri View attachment 3703359