ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi
Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE
AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII
SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea
pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa
wana simba
Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja
Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza
uwanza ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya
Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili
Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni
SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS
Live Updates zote utazipata hapa.
SaLm Kikeke- MC namba Moja Shughuli Ya Simba
View attachment 2709666
Pengine[emoji1544][emoji1550]Mods Kwanini walifuta Uzi wetu wa Simba wa Live Updates?
Ticket zetu tumebaliza Siku 2 kabla ya Tukio, Kwanini tusifungue uzi wetu wa live updates Masaa 6 Kabla?
Siku haina hata kombe la mapinduzi la kuwaonyesha madundunka [emoji23][emoji23]
mtafungwa hamtaamini
mtafungwa hamtaamini
Ni mojawapo ya matokeo kwenye soka blaza [emoji3]mtafungwa hamtaamini
kipigo cha mbwa koko[emoji28][emoji28][emoji28] Kabisa Na Hawa Power Dynamos?
mbaya sana
Mm ni YANGA ila SIMBA DAY ITANOGA ITAJAZA WATU MPKA MAFURIKO
MIQSOON CHAMA BALEKE NGOMA SAIDIO PHIRI HAPANA JAMAN NAOGOPA NYIE SIMBA MMESHINDIKANA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
kipigo cha mbwa koko