kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Refa Mchongo faulo gani ile?
Wanabana wanabanaaa....Mwisho Wataachia
Na viza ya Kule kanyimwa, hatoenda na wanamjua fikaMorrison akigusa mpira kijiji kinamfata
Ngoja tuone kipindi cha pili labda yatatokea yale ya USGN
Yaani hawa jamaa ata kupiga pass ni matatizoOrlando wanapoteza sana mipira