Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,347
- 37,804
Kila la heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni huko katika dimba la Levy Mwanawasa leo. Tukipata ushindi wa goli 2 zinatutosha Sana…Nguvu Moja🦁🦁🦁Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Mapemaaa mahesabu...hatuna kelele wala mbwembwe nyingi kama propaganda FC..
yaani macho yote yapo kigali. wanayanga kuweni na huruma, kwamba watanzania leo hii mechi wanayoisubiri kwa hamu ni ile ya kigali tu, hawa wa ndola ni wasindikizaji tu.Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
binafsi niliahirisha safari leo kwenda mwanza ili tu mechi isije ikanikuta kwenye basi. lakini mechi ninayosubiria ni ya yanga. ingekuwa ni simba peke yake sasaivi ningekuwa kwenye basi. hata hivyo nawatakia kila la heri, ila macho ya watanzania yapo kigali.karibia 80%Kila kheri Simba, kila la kheri Tanzania...