FT Kaizer Chiefs 1-1 Swallows,Ligi Kuu ya Sauzi

FT Kaizer Chiefs 1-1 Swallows,Ligi Kuu ya Sauzi

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,002
Reaction score
134,197
Screenshot_20210512-220940_Chrome.jpg
 
Tutawashikisha adabu ,ili kombe linatua Afrika mashariki, Tanzania
 
Wame improve sana kutoa sare. Maana nilitarajia watapigwa.Timu waliyocheza nayo iko juu kwenye msimamo wa ligi
 
Wame improve sana kutoa sare.Maana nilitarajia watapigwa. Timu waliyocheza nayo iko juu kwenye msimamo wa ligi

Yeah lakini But kwa uzoefu Kaizer yupo juu zaidi hao swallows ni kama Namungu vs Yanga wamepanda Daraja msimu huu
 
Kwenye mchezo wa jana waliwakosa wachezaji wao wanne wa Muhimu ambao ni majeruhi;
Khama Billiant, Eric Mathoho, Lebohang Lesako na Njabulo Blom

Kaizer Chiefs line-ups vs Swallows:

Chiefs:
Bvuma, Mphahlele, Cardoso, Ngezana, Zulu, Katsande, Parker, Baccus, Mashiane, Manyama, Castro.

Subs: Akpeyi, Moleko, Agay, Frosler, Ngcobo, Ntiya-Ntiya, Zuma, Nurkovic, Kambole
 
waliwakosa kwa sababu gani,mbali na Khama majeruhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom