pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,381
- 4,767
Unavyoongea ni kama kitu rahisiJamaa hawako serious kabisa, Mimi mwanzo nilidhani wameuza game but ndivyo walivyo, Germany wana timu ya kawaida Sana. Yaani unaona kabisa Ivory Coast ni Jambo la kukaza kidogo tu hii mechi wangeshinda, Ivory coast wakienda mbele unaona kabisa kama wengekuwa serious Magoli wangepata.... Germany Hadi walichanganyikiwa, Jamaa wanakuja Tu...Hatupo serious...asiposhinda mechi ijayo anatoka maana Ecuador hatacheka na yyte.....
Unadhani wao hawana shida na ushindi?