Si mpaka yapatikaneMsisahu kutuma video za magoli
Raha ya game mashabiki waingie wenyewe, sasa hivi unavotupa mialiko huu ni mpira au ni kipaimara???
Azamtv, sports 1 channelInaoneshwa channel gani?
Isijekua yaleyale ya kuchezea chumbani matokea ya kupangwa hadharani
😁😁😁 usitufokeeeRaha ya game mashabiki waingie wenyewe, sasa hivi unavotupa mialiko huu ni mpira au ni kipaimara???
Haya nimekuja mpira saa ngapi unachezewa wapi.....utaoneshwa? Au ninunue battery niweke kwenye radio yangu???😹😹
Naliona duka kwenye milingoti mitatua
😂 Magoli wakishafungwa hawachelewi kusema hawakucheza hio mechiMsisahu kutuma video za magoli
Simba ndio simba mkuu😁😁😁😂 Magoli wakishafungwa hawachelewi kusema hawakucheza hio mechi