mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 706
- 1,545
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji.
Ikumbumbwe katika mchezo wa raundi ya kwanza, Yanga ilipata ushindi wa bao 1, hivyo Dodoma Jiji wataingia wakiwa na shauku ya kulipa kisasi ili wajinasue katika hatari ya kushuka daraja
Mchezo utapigwa katika dimba la Jamhuri na utaanza saa 10.