FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

Mechi ikiisha hivi Simba na Azam wote watakua na point 60 ila Azam atabaki nafasi ya pili kwasababu ya uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Kumbuka Azam na Simba head-to-head ilikuwa 1-1 na 0-3
 
Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Kanuni ni goal difference labda kanuni zitungwe mpya za kuamua ili kuipa favour Simba. Leo tu limefungwa goli na Freddy aliyekuwa kwenye offside position hivyo sio ajabu kanuni mpya ikaamua
 
Kanuni ni goal difference labda kanuni zitungwe mpya za kuamua ili kuipa favour Simba. Leo tu limefungwa goli na Freddy aliyekuwa kwenye offside position hivyo sio ajabu kanuni mpya ikaamua
Ndio maana nikasema msije mkasema hazikuwepo. Kanuni hazitungwi katikati ya mashindano, ni mwanzo tu. Wanaotunga kanuni ni Bodi ya Ligi ambayo ndani yake kuna wawakilishi wa Azam, Yanga, Simba, Coastal Union hadi ihefu ya Singida na Singida ya Mwanza. Wanaelewa walichotunga
 
Kanuni zitaamua, msije kusema hazikuwepo
Kumbuka Azam na Simba head-to-head ilikuwa 1-1 na 0-3
Fuatilia vizuri kanuni ya ligi kuu ya Tanzania. Kinachoanza kuangaliwa ni idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa kama point zitalingana.

Nakupa na mfano kabisa
JKT Tanzania vs Namungo
JKT kaongoza kwa head to head dhidi ya Namungo lakini angalia msimamo wa ligi utaona Namungo ndiye yupo juu ya JKT kwasababu ya goal difference na wala haiangaliwi head to head.
IMG_20240517_174628.jpg
 
Fuatilia vizuri kanuni ya ligi kuu ya Tanzania. Kinachoanza kuangaliwa ni idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa kama point zitalingana.

Nakupa na mfano kabisa
JKT Tanzania vs Namungo
JKT kaongoza kwa head to head dhidi ya Namungo lakini angalia msimamo wa ligi utaona Namungo ndiye yupo juu ya JKT kwasababu ya goal difference na wala haiangaliwi head to head.View attachment 2992721
Nimeshasema nawajambisha utopolo wanaofuatilia mechi za Simba.
By the way, huu msimamo wa Ligi umeutoa kwenye website ya TFF?
 
Back
Top Bottom