Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 15,812
- 37,801
Waooh AsanteMwanangu yaan leo nataka nikupe zawadi nzuri sana b
Nasubir baba
Waooh AsanteMwanangu yaan leo nataka nikupe zawadi nzuri sana b
😂😆🤣👍Kuna yule manyanya
Yani yule ndo beki haswa
Alikua anabutua kama beki wetu wa chuo😂😂😂👍🏽
Yeye ni mbereeee
Ukija polepole ni mbereeee
Ukija na spidi anauweka gambani
unasubiri utofauti gani sasa wakati unajua kinachofata
Ni mbereeeee😂😂😂😂
Nakaziatrust me aichukui league anafungwa match zote zinazo fatal
Na mtafungwa na timu ndogo kisha ubingwa mtapotezaKama Al ahly inafungwa na timu ndogo za Misri sembuse Yanga??
Kumbe ni msauzi huyu jamaaGoli la feisal Mamelod Masandawana aka fei totoView attachment 2937650
We unachekesha kweli, timu gani apo ya kumfunga yanga tena?naweka laki gamondi achukui league. nipeni site tu kubetia the league winner.
Fei Toto Sukari.Kawafunga halafu alivyo na Adabu Kawaomba msamaha...hakushangilia bao La pili...!
Huyu Fei mumemsamehe..?
Tuliambiwa yanga hawanaga uchovu wanaweza kucheza dakika 700 bila kupumzika. wachovu ni simba tu.Hii mechi wananchi tumekaa na sababu kubwa wachezajinwa yanga wanauchovu wa mfululizo wa mechi
Vyema kujifariji baada ya kipigo na majeruhi waliovunjwa miguuWe unachekesha kweli, timu gani apo ya kumfunga yanga tena?
Bado mwambalodiNimelia sana hapa Azam walikua bora leo tactically, wamestahili ushindi tugange yajayo sasa 👊🏿
Hapa nilisahau tu kukuuliza mnashinda niniTunashinda hii
Na njaa kaka 😂😁Hapa nilisahau tu kukuuliza mnashinda nini
Mlitufunga 5Matokeo ya leo yamenifadhaisha sana. Nimepata msongo mkali sana wa mawazo ila nikawahi kupatiwa huduma ya kiakili mapema.
Gamondi huyu huyu aliyechukua kombe la batola pro na wydad, kombe la ligi ya south africa na mamelodi na la egypt premia ligi na ali ahly au gamondi yupi?GAMONDI hana tactics kabisa . In short he is not a good manager . Na Ligi anaweza asichukue
Mwonyesheni mlango wa kutokea.Huyu kocha fala sana, eti analaumu refa
Nimejaribu kufikiria msongo wa mawazo ambao huwa tunawaangushia ndugu zetu, kumbe ni mkubwa sana. Kweli mkuki kwa nguruwe .....Mlitufunga 5
Je hiyo haitoshi kufanya ufurahi?
Hizi goli mbiliHawafungwi hawa!