FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Feisal Salum Toto " Zanzibar Finest "

Last born wa taifa kutoka Kizimkaz .

Kiungo wa Mali kabisa huyu mabao 13 ya NBC premier League , mnataka nini tena ?

Nae muwekeni kwenye mijadala yenu au kwakuwa ni Mtanzania ?

Dogo analijua boli
 
Jenta kesho mapema jukwaa la michezo
1000027490.jpg
 
Back
Top Bottom