FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Utopolo kimya wamekimbia uzi
20240229_140725.jpg
 
Dk 70 bado Yanga Wako nyuma...

Kwasi naye injury?
Hizi injury nilizitabiri

Sasa Azam watakuja na mbinu za kuweka kuni mbele.

Matokeo yake baada ya mechi tutakuwa na casualities nyingi.

Mwisho wa siku game na Mamelody tutaifanya iwe rahisi na tuko nyumbani
 
Back
Top Bottom