Nimefurahi kukuona tena my Dear. I hope uko mzima.Mimi kama Mwananchi kindakindaki, niuvae uzi wangu mpya wa msimu huu sasa nijiandae kuangalia burudani.
Yanga ni mimi, mimi ni Yanga.
Ushindi ni lazima.
Naunga mkono hojaKila la kheri kwa Tanzania...
Aziz Ki in the house
Mzize aache utoto leo, hii mechi ukipata nafasi itendee haki lasivyo majuto.Aziz Ki in the house
Aziz Ki in the house
Kwa kikosi hiki lazima waumie wale
weka KikosiAl Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.
Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali hivyo kuleta chache ya kuondoka na ushindi.
Tuwatakie heri na fanaka nyingi kwa Young Africans ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo.
Mechi itakuwa live saa 10:00 jioni na itakujia kupitia Azam Sports 1HD
Nimefurahi kukuona tena my Dear. I hope uko mzima.
Tuko pamoja.
Anauguliwa na baba yake mzazi, wala hakusafiri na timuKwanini Mwamnyeto hayupo hata kwenye Sub?
Karibu. 🙏Nafurahi kusikia Shadeeya, kwa sasa utakuwa unaniona kiasi, Lol
Asante.
Anauguliwa na baba yake mzazi, wala hakusafiri na timu
Huwa kuna saa Mzize anakera sana.Mzize aache utoto leo, hii mechi ukipata nafasi itendee haki lasivyo majuto.
Kila la heri YangaAl Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.