wasudani leo watapigwa kama ngoma. kikosi cha yanga sio cha mchezo mchezo.Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.
Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali hivyo kuleta chache ya kuondoka na ushindi.
Tuwatakie heri na fanaka nyingi kwa Young Africans ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo.
Mechi itakuwa live saa 10:00 jioni na itakujia kupitia Azam Sports 1HD
Hakikaukitaka kujua ukubwa wa Yanga, ni leo, kuna timu pale kigali na nyingine ndola. ila macho yooote ya watanzania yapo Kigali. sijui wengine mmelitambua hilo?
MBUMBUMBU HAWATAAMINIWaarabu Koko watapigwa kama
Mkuu, Kwa propaganda mpo vizuri, mkipigwa mmepiga mkipiga mmepiga.ukitaka kujua ukubwa wa Yanga, ni leo, kuna timu pale kigali na nyingine ndola. ila macho yooote ya watanzania yapo Kigali. sijui wengine mmelitambua hilo?
yanga leo wanaenda wakijua kabisa wanaenda kushindana na timu mbovu kwao, na wanajua wanaenda kushinda. sema wawe makini tu wasije wakashtukizwa. ila hata el merrikh wanajua yanga ipo vizuri na leo si rahisi kwao kutoka bila kuchapwa. na kama walishawahi kutusumbua yanga before, basi yanga piga kabisa ua kabisa hao ndezi.Kila la kheri Yanga, kila la kheri Tanzania...
Nikirudi miaka ya nyuma, El Merrikh wamekuwa wakiisumbua sana Yanga...
Sasa ni kizazi kipya, muda wa kulipa kisasi...
andaa kabisa bakuli la kutapika hayo maneno yako. hata wanasimba wenyewe leo mechi wanayoisubiria ni ya yanga.Mechi sare au yanga anapigwa
Hakunaga 10 alasiri ilikuna 9 alasiriMASAHIHISHO
Saa 10:00 Jioni️
Saa 10:00 Alasiri
Nenda kafate Ada yako!Hakunaga 10 alasiri ilikuna 9 alasiri