From Muriet Arusha with Love. - Mrisho Gambo

From Muriet Arusha with Love. - Mrisho Gambo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
Wanatambua mchango wake
Wanatambua uwezo wake
Ameishi nao vizuri sana
Wanamkubali sana

Muriet Arusha
FB_IMG_16008523028752796.jpg
FB_IMG_16008522964474212.jpg
FB_IMG_16008522825720563.jpg
FB_IMG_16008522756568485.jpg
FB_IMG_16008522656067466.jpg
 
Huku muriet si ndio kuna makazi ya Gambo?ndiko alikokuwa amepanga jimbo la arusha mjini litenganishwe ili agombee jimbo hili au?
 
Ni dhambi watu wa Arusha kuipigia kura ccm
Alafu nyie watu ambao sio watu wa Arusha humu ndio mnakuwa mashabiki wa Lema..Lema hapa mjini amekuwa mzigo kama furushi la mchanga...watu waarusha wameshamtua siku nyingi..tunasubiri muda tu.
 
Nauliza ndio kaanza leo kampeni???

tupe za mikutano mingine
 
zilikuw kampeni za kujisifia tu,
ooh! rais nampata wkt wwte nipeni kura.
anaeneza kufahamiana na kujuana au connection ndio uhudumiwe na serikal ya pombe,
badal ya kutoa haki kwa raia.
******** hovyo
ccm mnawachangish wanyinge wenu na kupiga hela
ARUSH tutaharibu sana kumkosa LEMA.
LEMA JUUUU
 
Back
Top Bottom