From MP4 to MPEG4

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Msaada aliye na utaalam wa ku-convert video kutoka mp4 kwenda mpeg4 naomba anisaidie nitumie app gani ambayo nitadownload kwenye sim

Au nisaidie app ya kudownload video kutoka YouTube moja kwa moja yenye format ya mpeg4

Aliye na ujuzi tusaidiane
 
Hivi MPEG4 ni VCD ndio zina play!?.. Imekuaje unataka outdated format kiasi hicho!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…