Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Kabisa manengelo.
Raha ya mpenzi, kila mtu amjue.
Ya kujificha ficha haya mwisho wa siku mnajikuta mnapangishwa foleni wanawake 4.
Duh kama wewe umejibu hivi yeye je?unawashwawashwa😉
muombee heri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawashwawashwa😉
muombee heri
Kila la heri mama kijacho.Kabisa mkuu
Ikiiva unistue nishuhudieHuyu manengelo dawa yake iko jikoni.
Hongera kwa kutoa hisia zako za penzi ulilozama ukaoza kabisa, kwasasa washa PM tu hakuna atakaye kuja hukoKabisa mpenzi.
Najitia kitanzo mwenyewe aisee
Pamoja na kujaliwa chura na akili ya maisha na akili ya kuishi kama mwanamke ninayo.Chura ipo?