From IGUNGA MKAPA ASUBILIWA KWA HAMU KUBWA

Kweli ingunga kuna mambo wakazi wa igunga na vitongoji vyake wametanda barabarani
kumsubiri Rais mstaafu Benjamini mkapa kufungua mkutano wa ccm

Shughuli zote za kazi na biashara zimesimama kwa muda

Nitawawekea updates za picha soon bado watu wanakusanyika
We kibaraka sema ukweli kuwa bado watu wanakusanywa kwa malori. Tangu lini watu wakakusanyika wenyewe kwenye mikutano ya ccm?!!
 
JEYKEY Hii picha si ya wanaigunga, umepatia bagamoyo nipe evidence.
 
3.jpg

Who is that? Naona kama jitu linataka kupasuka kwa unene wa ufisadi. Siku zao zinahisabika na mwisho wake utakuwa Jela. Nina aamini kuwa Hawa Mafisadi hatakufia Uraiani wataishia jela wote mara baada ya kupata Serikali inayotambua utwala wa sheria, yuko wapi Mubarak wa Egypt? . The clock is ticking tic tak tic tak
 
lea ni uzinduzi wa sunami
kutoka kwa rais mstaafu B Mkapa

Tega sikio kibunga chake
Hivi huyu sio ndo alikomaa msipate mahakama yenu ile??
halafu akawapa wale jamaa watani zenu MOU??
Aseee!!!
 
Kweli ingunga kuna mambo wakazi wa igunga na vitongoji vyake wametanda barabarani
kumsubiri Rais mstaafu Benjamini mkapa kufungua mkutano wa ccm

Shughuli zote za kazi na biashara zimesimama kwa muda

Nitawawekea updates za picha soon bado watu wanakusanyika

Updates....................

Mkapa alivyopokelewa jana

6.jpg

Wameshavishwa kumbe!!
Leo siku ya swala yakheee!!
waambie wakaswali, mkapa hawezi kuwapa pepo huyoo!!
 
Kweli ingunga kuna mambo wakazi wa igunga na vitongoji vyake wametanda barabarani
kumsubiri Rais mstaafu Benjamini mkapa kufungua mkutano wa ccm

Shughuli zote za kazi na biashara zimesimama kwa muda

Nitawawekea updates za picha soon bado watu wanakusanyika

Updates....................

Mkapa alivyopokelewa jana

6.jpg

Kama kawaida yenu, FUSO haliko mbali.

Chonde chonde msitoe kafara tena, wana igunga wote wanahitaji kuishi kadri Mungu atakavyowajalia, sio muanze kukatisha uhai wao kwa sababu ya kutafuta madaraka.
 
Ni vizuri 2kaelewa hao wananchi wanakwenda kumshangaa mkapa na sio kuunga gamba mkono subiri tuone kama siku zinazofuataj je watajitokeza kama leo?
 
Nachokiona mimi ni mafuso na mabasi kwa mbali yakitanguliwa na magari ya kifisadi, pia watu wanaendelea na shughuli zao kama kawa isipokuwa wanashangaa tu kwa muda wa dkk chache then waendelee na mambo yao
 
utuwekee na picha za mabasi yaliyo beba wafuasi wa ccm kutoka wilaya na mikoa jilani

Tazama vizuri kwenye ile picha yenye magari kwa nyumba utaona mafuso na mabasi

watu wanazidi kujikusanya

Ni kweli, nimeona fuso moja limemwaga watu ila watu wenyewe hawana matumaini kabisa na wengi wao ni watoto waliomaliza mtihani jana na vikongwe tu
 
We jeykey mbona hutuletei taarifa juu ya ufunguzi? umeendaje? tuwekee na mipicha hapa tulinganishe magamba na magwanda nani zaidi.
 
Back
Top Bottom