FROM EURO 2016 TO NDONDO CUP

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
451
Wakuu
Kweli nimeamini anayekutakana akuchagulii tusi....nilikua natumia kingamuzi cha Start Times ila baada ya kusikia matangazo kuwa Azam Tv wataonyesha michuano ya EURO 2016 niliamua kununua hiyo kitu lakini mwisho wa siku nimeambulia michuano ya Ndondo Cup....Daaaah wacha nijichange nichukue DSTV baba lao kuepuka na matatizo haya...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom